Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2016

CHUYAM CHUYAE: FILAMU 100 KALI ZA KIHINDI ZILIZOTIKISA KUWA NA "LOVE STORY" KALI

CHUYAM CHUYAE: FILAMU 100 KALI ZA KIHINDI ZILIZOTIKISA KUWA NA "LOVE STORY" KALI

Maisha ni mfumo.

Maisha ni kile kinacho kutokea kila siku.  Hivyo basi ni muhimu kuishi kwa kuangalia furusa zilizopo na kuzifanyia kazi kwani zinaweza kuwa na msaada kwako.  Ukishindwa kufanya kazi kwa kuwa huridhishi na mshahara wako, haikusaidii bali itakupunguzia uzalishaji na hatimaye mapato ya kampuni yako  Ukipanda mbegu ya upendo utaleta amani, Ukipanda mbegu ya chuki utaleta mifarakano inayoweza kukudhuru hata wewe na familia yako