Maisha ni mfumo.

Maisha ni kile kinacho kutokea kila siku. 

Hivyo basi ni muhimu kuishi kwa kuangalia furusa zilizopo na kuzifanyia kazi kwani zinaweza kuwa na msaada kwako. 
Ukishindwa kufanya kazi kwa kuwa huridhishi na mshahara wako, haikusaidii bali itakupunguzia uzalishaji na hatimaye mapato ya kampuni yako 
Ukipanda mbegu ya upendo utaleta amani, Ukipanda mbegu ya chuki utaleta mifarakano inayoweza kukudhuru hata wewe na familia yako 

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HOW CAR SUSPENSION WORK